Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...