Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke usiyempenda",
Mwingine anasema "usiangalie sura angalia tabia", Mwingine anasema "oa mwanamke mpambanaji"...