SUBIRA, JUHUDI NA ....soma Hadi mwisho ujue Cha tatu
Kulikuwa na mkulima mmoja aliyepata mbegu ndogo sana kutoka kwa rafiki yake. Mbegu hii ilionekana dhaifu na isiyo ya thamani, lakini rafiki alimwambia,
"Mbegu hii ina uwezo wa kukua na kuwa mti mkubwa wenye matunda ya kipekee, lakini lazima...