Katogo (also known as Katoro) is a town in the far north of Ivory Coast. It is a sub-prefecture of M'Bengué Department in Poro Region, Savanes District. Seven kilometres north of town is a border crossing with Mali.
Kotogo was a commune until March 2012, when it became one of 1126 communes nationwide that were abolished.In 2014, the population of the sub-prefecture of Katogo was 14,862.
Wakuu naileta kwenu miji hii miwili ili kusaidia vijana watafutaji kuifaham vizuri.
Uyole ni mji ambao ni sehemu ya jiji la Mbeya
Katoro ni mji ambao ni sehem ya halmashaur ya Geita Dc.
Je
Kibiashara
Mzunguko wa pesa
Vibe na starehe kiujumla
Wapi NI zaidi?
Nakaribisha Developers wa Eneo la Familia lililopo Barabara ya CCM Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro.Njoo na proposal.Familia inamilki Eneo na Nia ni Kujenga Trade Centre (Tayari Jengo 1 limekamilka).
Eneo linatazama Lami hivyo developer atajenga na Kupangisha Kwa Miaka Kadhaa Kwa makubaliano...
Serikali imesema itaupatia Mji mdogo wa Katoro Mkoa wa Geita Wilaya ya Kipolisi na kuujengea Kituo kipya cha Polisi chenye hadhi ya Wilaya ili kuimarisha Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati wa ziara ya Katibu...
TANROADS GEITA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YAKAMILISHA USANIFU BARABARA YA USHIROMBO-NYIKONGA-KATORO
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya...
Nilifikiri utaishia Dar Es Salaam na Mwanza. Lakini imekuwa tofauti na nilivyofikiri.
Nikiwa natokea mkoa fulani, leo saa nne Asubuhi, nimepitia Kariakoo Katoro mkoani Geita kwa lengo la kununua vifaa fulani. Sijafanikiwa. Maduka yote yamefungwa. Hiyo ni wazi kuwa nao wamegoma.
Hali haipaswi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Wakala ya Barabara (TANROADS) imekamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro na Sasa Serikali ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi wa kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami kipande cha Ushirombo hadi Nyikonga (km 22.5), pamoja...
Nimetembelea mkoa wa Geita na wilaya zake, mwezi wote huu.
Katoro ni mji ambao umenishangaza sana, mji Unajengeka kisasa, Una majengo ya kifahari, centre Yao imechangamka kuna mzunguko biashara na muingiliano WA watu WA kutosha.
Sikuwa na wazo na kununua kiwanja Huku Geita, imenibidi ninunue...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi Kilangalala Mkoani Geita leo tarehe 15 Oktoba, 2022 ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Chato na kuzindua Kituo cha Kupoozea Umeme na Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu mkoani humo.
=====...
Wakuu,
Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba.
Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale...
Wakuu, habari zenu,
Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama,
Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo,
ASANTENI
Yes wakuu,
Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.
Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress.
Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro...
Naomba kuelezwa kwa mwenye uzoefu na hiyo miji miwili.
Ni mji upi unafaa zaidi kwa biashara ya saloon ya kike classic flani hivi?
Je, bei za fremu mjini kati ni sh ngapi?
Aina za wakazi wa mji huo je?
Natanguliza shukrani
Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua.
Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua.
Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua.
Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni...
Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi.
Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro...
KATORO, Geita. Kijiji pekee nchini kwasasa chenye hadhi ya kuitwa MJI lakini bado kinatambulika kama Kijiji sawa sawa na kijiji cha KASATO kule Biharamulo, ama Kiuyu Mbuyuni kule Micheweni, Pemba Zanzibar.
UKipata fursa ya kufika KATORO. Hapa kuna
BENKI karibu zote uzijuazo
MAJI ya kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.