katuni ya kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Nini maana ya huu mchoro wa Kipanya wenye bendera ya CHADEMA?

    Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake. Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
  2. Tujikumbushe katuni hii ya Kipanya

    Nimeitazama hii picha nikapata maana tofauti. Naomba mwenye uelewa saana na habari picha watulekeze nini ujumbe upo ndani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…