kauli tata za uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bila bila

    UVCCM, hili la kuteka, kutesa na kupoteza watu hamtaliepuka kutokana na kauli tata za viongozi wenu

    Ni mlolongo wa viongozi wa Umoja wa Vijana CCM, tangu HERI JAMES Hadi Mohamed Kawaida, kuanzia viongozi wa Vijana mikoa Hadi ngazi ya Kata kote ni majigambo na vitisho vya kupoteza maisha ya wanaopinga Chama Chao au kuwaharibia Biashara zào wanaokataa kusapoti Chama Chao kifedha. Kutokana na...
Back
Top Bottom