Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akijibu swali la Mbunge wa viti Maalumu, Anatropia Lwehikila Theonest amezungumzia kauli ya RC Chalamila akisema:
"Suala alilozungumzia ni nyeti mno, suala la akina mama na mambo mengine ya dharula tunatoa maelekezo mahususi kwanza moja kwa hospital za...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania.
Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua.
Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kutokana na kauli yake anayodaiwa kuitoa hivi karibuni ambayo wamedai kuwa inatweza utu wa...
Nashangaa mnaowasakama wajawazkto na kusema wanajidekeza sijui wajifunze kuchagia huduma, wapuuzi kabisa!
Huwa hamuoni mabilioni ya pesa yanavyotafunwa na kuripotowa kila mwaka lakini hakuna hatua inayochokuliwa? Kwani hamjui kama hizo ni kodi zetu na ndio wanasababisha huduma kuzorota?
Pia...
Ifike mahali wananchi waache kulialia na kuhitaji kila kitu bure. Hii nchi bado inajitafuta na hata kama tutajipata hatutaweza fikia azma ya kutoa huduma za afya bure.
Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali kadhaa wa kadhaa hasa hizi za wilaya zina kufa kwa sababu ya utoaji wa huduma bure kupita...
Wakuu,
Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata?
====
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kali watu wote...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chalamila amesema kuwa analiomba Jeshi La Polisi kushugulika na watu wote watakaopinga matokeo ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Watu wenye umri wa miaka 40 au zaidi na hawana hela hawapaswi kumlaumu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwakuwa Watu hao wamezaliwa wakati Mwl. Nyerere akiwa madarakani na vimepita vipindi vingi hivyo hawapaswi kumlaumu Rais...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia.
Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.