Wanajamvi,
Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo...