Siku chache tangu zisambae picha mtandaoni kwamba kuna wagonjwa wanapelekwa hospitalini kwa kutumia matenga huko mkoani Ruvuma, Rais Samia jana ameamu kujibu mapigo.
Akiwa anahutubia jana huko mkoani Ruvuma Samia alisema kuwa anasikitishwa na baadhi ya watendaji wanaokaa kimya pindi taarifa za...