kavunja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  2. Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  3. Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  4. Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿 Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake). Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
  5. M

    Mwaka wa Yanga huu, kavunja kila aina ya rekodi Kombe la Shirikisho

    Kampiga na kumtoa nje ya michuano Mwarabu (Club Africain), hakuna timu Tanzania imewahi kumfunga Mwarabu akiwa kwenye ardhi ya nyumbani kwake ndani ya dk. 90! Kampiga Rivers nyumbani kwake ambapo alikuwa hajawai kufungwa tokea 2021 kwenye uwanja wake wa nyumbani, tukumbuke na Whydad Casablanca...
  6. Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  7. N

    Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
  8. Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao. Mimi bado namtambua Rais Conde...
  9. Kweli kuwa Luis Miqquiesone kavunja mkataba?

    Kuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi zaidi. Tetesi zanasema hizi pande kuu mbili zina surprise kubwa sana kwa mashabiki wao, kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…