20 October 2022
Meru, Kenya
Gavana Kawira Mwangaza ameapa kuikomboa County ya Meru toka mikononi mwa vikundi vilivyozowea kujineemesha kinyume cha sheria.
Akiongea kuhusu azma yake ya safisha safisha amebainisha vita hiyo ya ukombozi kutoka minyororo ya cartels itasabanisha vilio na mayowe...