Ukosefu wa uwazi, ugumu wa kupata taarifa sahihi kuhusu malipo, imekuwa changamoto kubwa kwa wanufaika wa TASAF.
Miradi ya TASAF kila sehemu inapaswa kuwafikia walengwa ambao ni Wazee na Wanawake wa Kaya masikini. Hali ni tofauti mkoani Kilimanjaro, katika Kata za Mnadani, Machame Narumu...