kazi bure

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  2. Ufedhuri na biashara za kitapeli

    ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena anakusumbua tafuta wadhamini njoo na barua za utambulisho toka serikali za mtaa Ehhhh bana unaingia kazini...
  3. Naombeni 'connection' ya kazi

    Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila...
  4. Katiba bila elimu ni kazi bure haitatusaidia

    Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema. Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo...
  5. R

    Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

    Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali bajeti pendekezwa za Mbadala kutoka kambi ya upinzani Bungeni zinachanwachanwa kwenye makamera ili...
  6. Kigwangalla: Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure

    "Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure.Kwa kuwa hii inatoa haki, usawa na amani, tuiheshimu." "Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…