kazi na utu tunasonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera apongeza kauli mbiu mpya ya CCM "Kazi na Utu Tunasonga Mbele"

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akieleza kuhusu kauli mbiu hiyo, Faris amesema kauli mbiu hiyo...
  2. Pre GE2025 Uchambuzi wa Kauli Mbiu ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025: Kazi na Utu, Tunasonga mbele

    ๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐— ๐—ฏ๐—ถ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—–๐—–๐—  ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ: "๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜๐˜‚, ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐— ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ" ๐—ก๐—ฎ. ๐—๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ, ๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐˜‚ - ๐—จ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ท๐—ฎ Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inabeba dhana kuu tatu: Kazi, Utu, na Maendeleo (Tunasonga Mbele). Hizi ni misingi muhimu inayolenga...
  3. Pre GE2025 CCM waweka ukomo nafasi za ubunge na udiwani viti maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ