Hizi ndo hints;
1. Wengi wao wanahali mbaya
2. Wengi wao hawana ela
3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa
4. Wengi wao ni walalamishi.
5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa .
Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko...
Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu.
Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China.
Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo
- Ushindani wa kiuchumi, marekani anahitaji kufanya kila namna kudhibiti ukuaji wa uchumi wa kwa miaka mingi ijayo ili isizidi kuwa...
Kwanza tufahamu utaratibu wa milo mitatu(breakfast, lunch na dinner) ni utamaduni wa magharibi ulioibuka karne ya 17 kutokana na mambo mengi mojawapo ikiwa ni mapinduzi ya viwanda yaliyowafanya wafanyakazi wanaofanya kazi ngumu wahitaji kula mara nyingi kuhimili kazi ngumu. Kabla ya hapo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kazi ngumu na nzito na yenye majaribu mazito na mitihani ya kila aina na yenye kukuweka roho juu juu na presha muda wote basi kazi hiyo ni ya Urais. ni kazi nzito ,ni msalaba Mzito ambao mtu hujitwisha Mabegani mwake Ni kazi inayokufanya ukose usingizi,kukosa...
Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa.
Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu.
Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
Hivi jamani kama tunafanya kazi ili tuishi, sasa kwanini tunafanya kazi ngumu inayopelekea kutuua?
If we work for the living,why do we kill ourself working
Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake.
Kutokana na utata huo mke...
Rais wetu Dkt. Suluhu Hasan tunazidi kukupongeza kwa maono yako, makusudi nadhamira ambayo umeonesha kwa kipindi hiki kifupi cha utawala wako kwa kufanya jambo lililo shindikana tangu nchi ipate uhuru.
Mwangaza wa kutupatia umeme Wilaya ya Kishapu kuipitia REA/Tanesco umeonekana. Suma JKT...
Kufupisha Uzi nitatoa mfano!
Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea!
Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.