Katika reform ya elimu yetu ambayo inakwenda kuanza soon wasisahau kuweka somo la bodaboda huko sekondari.
Bodaboda ni nyanja iliyoajiri vijana zaidi ya milioni 1. Ndio sekta iliyobeba vijana wengi kuliko sekta zote nchini.
Baadhi yetu tulikuwa tukiisihi serikali kuwaondoa vijana kwenye hii...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta ajira nyingi kwa vijana hususan madereva wa pikipiki (bodaboda)...
Hakuna kitu kinakera kama kupakiwa mshikaki,kwanza kuna hali fulani si ya kupendeza unakuta mke wa mtu kakaliwa nyuma na jamaa pale lazima jamaa liskie joto lake au shanga zake na kuvuta hisia.
Kero nyingine ni kile kitendo wanaume mnatangulizana halafu zote njemba hiyo kitu huwa siikubali hata...
Kuna dogo ni jirani yetu kijijini, nimempita kama miaka 12-15 Nilimwona miaka 5 imepita Kariakoo akifanya kazi kwa Wahindi na juzi nimemwona Kazini analeta bahasha akiwa na boda. Anasema aliacha kazi kwa Wahindi na kujiingiza kwenye ubodaboda.
Kijana kazeeka ghafla utadhani kanizidi umri. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.