Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26.
Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi. Msaada jamani
Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika
Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa
Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine...
Habari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva,
Kumuendesha mtu,
Kiongozi,
Gari la shule, taasisi, kampuni n.k
Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
Habari za mida wakubwa zangu!
Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu wa miaka mitano hadi sasa.
Naomba kwa atakaekuwa na tenda za ajira ya udereva wa makampuni, binafsi...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa xx natokea maeneo ya Mikwambe, Kibada, Kigamboni mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST, SIENTA, n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini.
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.