Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu.
Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi.
Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe salama.
Mshahara kwa mmoja ni 150,000
KAma nitapata DEIWAKA wa kulinda kwa siku mbili tatu hizi...
Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT
Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda...
Habari za muda huu hapa,
Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja.
Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm.
Maisha yamekuwa magumu sana na hakuna maendeleo yoyote nayoyaona zaidi ya kulipia Kodi,na kupata Hela ya kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.