Nijuavyo mimi ma professional wakweli hawatakagi kupangiwa na wanasiasa hasa kama kinachopangwa ni kinyume na taaluma yao.
Kwanini polisi wakiambiwa kamata wanakamata kweli wakati wanajua wazi kuwa ni kinyume na maadili ya kazi yao? Ilibidi Mkuu wa Wilaya akiamuru kamata huyu weka ndani, askari...