kazi za kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    LGE2024 Kazi za serikali za mitaa ni kazi za kujitolea chadema waambiwe ukweli kiwa kama huna kazi huwezi pata

    Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu. Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali ipige Marufuku Ajira za kujitolea. Ni Mbinu mpya ya kinyonyaji, dhulma na uhujumu uchumi wa Nchi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hatuwezi kuwa na Taífa la matapeli, wanyonyaji na dhulma tupu. Alafu serikali ibariki unyonyaji huo. Inashangaza kumwona Kiongozi akishadadia na kuhamasisha Vijana wajitolee, wanyonywe, wadhulumiwe, wapotezewe Muda waô. Kwa kweli inasikitisha Sana Kama...
  3. HighGm

    Fursa ya Dhahabu: Mhitimu wa uhasibu na teknolojia anatafuta kazi, HARAKA!

    Habari wana JF. samahani kwa kuwakimbizeni. Short storyline. Nimepambana sana na application's za kupambania nafasi za kazi, ila sijabahatika ziaidi ya mara tatu. Ni mbili tu(Online business). Sawa tuachene na hizo. Nipo hapa kijana wenu (23), nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo...
  4. O

    Tuzungumze kuhusu kujitolea kwenye kazi ya mtu huku yeye anaingiza pesa

    Kuna uzi niliuandika namna gani kijana anayemaliza chuo anapaswa afanye ili aweze kuishi vizuri mtaani, nashukuru wanajukwaa kwa mwitikio wenu mzuri ila kuna baadhi ya wanajukwaa wansema kujitolea kwenye makampuni sawa ni wazo zuri kwa ajili ya kutengeneza CV yako, tatizo linakuja kuna baadhi...
Back
Top Bottom