Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu.
Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hatuwezi kuwa na Taífa la matapeli, wanyonyaji na dhulma tupu. Alafu serikali ibariki unyonyaji huo.
Inashangaza kumwona Kiongozi akishadadia na kuhamasisha Vijana wajitolee, wanyonywe, wadhulumiwe, wapotezewe Muda waô. Kwa kweli inasikitisha Sana
Kama...
Habari wana JF.
samahani kwa kuwakimbizeni.
Short storyline.
Nimepambana sana na application's za kupambania nafasi za kazi, ila sijabahatika ziaidi ya mara tatu. Ni mbili tu(Online business).
Sawa tuachene na hizo.
Nipo hapa kijana wenu (23), nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo...
Kuna uzi niliuandika namna gani kijana anayemaliza chuo anapaswa afanye ili aweze kuishi vizuri mtaani, nashukuru wanajukwaa kwa mwitikio wenu mzuri ila kuna baadhi ya wanajukwaa wansema kujitolea kwenye makampuni sawa ni wazo zuri kwa ajili ya kutengeneza CV yako, tatizo linakuja kuna baadhi...