Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema"
Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
Huyo ni mjusi/Dinosaur anayeamika kuishi Tanzania miaka mingi iliyopita ambaye kwa sasa mabaki yake yamehifadhiwa katika Makumbusho nchini ujerumani. hio ni moja kati ya maelfu ya kazi za kisanii, mabaki ya viumbe hai vilivyoibiwa katika kipindi cha ukoloni.
katika kipindi cha ukoloni ukiachana...
Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20.
Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
Habari wakuu
Naomba kujua ni wapi naweza kupata EPOXY RESIN kwa ajili ya kutengeneza kazi za sanaa kama vile mapambo.
Mfano hii hapa chini.
Natanguliza shukurani.
Msanii na mmiliki wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa haruhusiwi kusafiri nje ya nchi bila ya kuwa na kibali cha Serikali, huku Baraza la Sanaa Taifa (Basata) ikieleza namna ya kupata kibali hicho
Diamond aliweka wazi jambo hilo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.