kazi za ubongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ben-adam

    Je, ubongo tu ndio msimamizi mkuu wa shughuli zote za mwili au kuna kitu kingine?

    Wakuu, Kuna kitu huwa najiuliza sijawahi kupata majibu ya kuridhisha! Mimi ninachojua; ubongo upo kichwani, uwe ni unaohusika na mambo ya hiari, yasiyo ya hiyari, upo Kichwani. Swali: kinachofanya kiwiliwili kuruka ruka baada ya kukitenganisha na kichwa ni nini, matendo yanayofanywa muda huo...
Back
Top Bottom