Wakuu,
Kuna kitu huwa najiuliza sijawahi kupata majibu ya kuridhisha!
Mimi ninachojua; ubongo upo kichwani, uwe ni unaohusika na mambo ya hiari, yasiyo ya hiyari, upo Kichwani.
Swali: kinachofanya kiwiliwili kuruka ruka baada ya kukitenganisha na kichwa ni nini, matendo yanayofanywa muda huo...