Kazi zenye hadhi/staha (decent work) ni kazi zinaofuata misingi ya haki, usawa, usalama, na fursa za maendeleo kwa wafanyakazi. Mpango wa Kazi zenye Hadhi ni wazo lililopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) na linalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata kazi bora na inayostahili, ambayo...