Wakati mijadala mingi kuhusu elimu huzunguka KCSE, grades na ajira, Shule ya Sekondari ya Kebirigo Boys High School huko kaunti ya Nyamira imeonyesha upande mwingine wa elimu, yaani, kutumia maarifa kutatua tatizo la kila siku.
Ripoti zinasema Wanafunzi wa Shule hiyo wameunda mashine...