Tunaimbiwa wimbo wa nchi yetu kuwa na maendeleo ya kila uchwao huku tukisikia taarifa kuwa uchumi unapanda, wengine tukisikia tunajua huenda keki ya Taifa itafika na kwetu angalau tuache kupiga miayo tukiiwaza siku itaishaje baada ya asubuhi na mchana kupita pakavu yaani bila bila.
Cha ajabu...
Kumponda kijana, kumvunja moyo na kumtamkia kauli za kumkatia tamaa ni kushambulia uti wa mgongo wa taifa.
China imepromote vijana, hadi leo ndio nchi inayoongoza kuwa na malaki ya mabilionea under 30.
Tukumbuke wakina Nyerere, Salim etc walianza kung'aa wakiwa vijana.
Kumeibuka kundi la...
Amani iwe juu yenu Watanzania wenzangu!
Nimeitafakari vya kutosha nchi yangu mpaka hapa ilipo. Hakuna awezae kuzuia kifo isipokua ni Mungu pekee, raisi wangu mama yetu ameingia madarakani kikatiba baada ya kufariki kwa aliyekuwa raisi wetu John. P. Magufuli, jambo hili linatosha kuthibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.