Sergio Gontán Gallardo (born 27 December 1991), known as Keko, is a Spanish professional footballer who plays for Deportivo de La Coruña as a right winger.
Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii..
Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza.
Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
Wakuu habari zenu,
Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje?
Wanaohusika naomba mlitafakari...
Washitakiwa wawili wanaotuhumiwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya ndovu yenye thamani ya dola za Marekani 30,000, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwapangie Gereza la Keko kwa kuwa ni pazuri na pana usafi.
Washtakiwa hao ni Hassan Sangari (22), mkazi wa Kingula mkoani Dodoma na...
Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano.
Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
Jamani Dar haipitiki barabara karibu zote zimechimbuliwa sijui upite wapi.
Mwananyamala, Kilwa Road, Kawawa Road Bagamoyo Road na nyingine nyingi halafu ziko polepole sana haziishi.
Hivi mainjinia wetu hawawezi maliza moja wakafata nyingine? Ona hiyo foleni ya Kawawa toka Keko mpaka Magomeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.