keko

Sergio Gontán Gallardo (born 27 December 1991), known as Keko, is a Spanish professional footballer who plays for Deportivo de La Coruña as a right winger.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimepigiwa simu nitume pesa nitumiwe pikipiki kutoka Dar keko nilikoagiza

    Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii.. Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa hatua za kufanya ili kupata pikipiki bila usumbufu Vitu gani nizingatie
  2. A

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
  3. Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

    Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza. Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
  4. B

    KERO Barabara iliyojengwa Keko ni ya kupita gari moja tu, gari likiharibika itakuwaje?

    Wakuu habari zenu, Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje? Wanaohusika naomba mlitafakari...
  5. Watuhumiwa waiomba Mahakama kuwapangia Gereza la Keko wakidai ni zuri na safi

    Washitakiwa wawili wanaotuhumiwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya ndovu yenye thamani ya dola za Marekani 30,000, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwapangie Gereza la Keko kwa kuwa ni pazuri na pana usafi. Washtakiwa hao ni Hassan Sangari (22), mkazi wa Kingula mkoani Dodoma na...
  6. House4Sale Banda la Miamala linauzwa, keko Dar es salaam

    Nipigie 0713096076 bei 250,000
  7. Usiku wa kwanza katika ardhi ya Tanzania, Junior alilala mahabusu Keko

    Junior ni Mholanzi mwenye asili ya Tanzania. Wazazi wake walihamia Uholanzi wakiwa bado vijana. Maisha yake yote Junior ameishi Amsterdam. Alikuja Tanzania kwa mara ya kwanza akiwa na miaka mitano. Baada ya sherehe yake ya kuzaliwa akifikisha miaka 18, babu na bibi walimnunulia tiketi aje...
  8. C

    Dar imechafuka, haipitiki. Ujenzi kila barabara

    Jamani Dar haipitiki barabara karibu zote zimechimbuliwa sijui upite wapi. Mwananyamala, Kilwa Road, Kawawa Road Bagamoyo Road na nyingine nyingi halafu ziko polepole sana haziishi. Hivi mainjinia wetu hawawezi maliza moja wakafata nyingine? Ona hiyo foleni ya Kawawa toka Keko mpaka Magomeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…