Wakuu
Huku Mbweni Mpiji maeneo ya Ungindoni wakiwa na sherehe zao za vigodoro ni kero kubwa, wanakesha usiku kucha na mziki ni mkubwa kiasi kwamba ni changamoto hata kupata usingizi. Mbali na hili ni hatari kwa watoto pia, ukienda kuchungulia mida ya saa tano sita usiku hukosi watoto, kwa watu...