Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa ya kiroho katika kuabudu
Naomba Serikali iandae sheria ya sounds proof kwa haya makanisa na kumbi...
Anonymous
Thread
athari za makelele
kampeni za nemc dhidi ya makelele
kelelezabaa
makelele ya makanisa
Sisi wakazi wa Mbezi Beach kwa Komba mtaa wa Alesika Road jirani na Ofisi za Airtel tunateseka kwa kulazimika kukesha pamoja na waumini wa kanisa la Angels Ministry ambao wapo kushoto kwetu na Amigos Pub ambayo ipo kulia kwetu. Wanakesha kwa makelele usiku kucha na kuondoka saa 11 asubuhi.
Kwa...
Anonymous
Thread
amigos pub
angela ministry church
athari za makelele
kelelezabaa
nemc
noise pollution
uchafuzi wa kelele
Kumekuwa na kero ya kukosa utulivu nyakati za usiku baada ya uwepo wa sehemu hii ya biashara kwani sehemu hii ipo karibu na hospital na makazi ya watu na kusababisha watu kushindwa kulala wakiwemo watoto, pia wagonjwa hawapati utulivu na hakuna anayesema lolote kuhusu hili.
Nahisi ni kuogopa...
Anonymous
Thread
kelelezabaa
kijiji cha mrijo
kituo cha afya mrijo
uchafuzi wa kelele
wilaya ya chemba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.