kemikali hatarishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    SACP George Katabazi: Sekta binafisi Zitoe Elimu ya usafirishaji Salama wa kemikali hatarishi ya sodiam sayanaidi kwa Wafanyakazi

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Ķatabazi amesema sekta binafsi bado ni changamoto kwenye kutoa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii inayowazunguka juu ya madhara ya kemikali na jinsi ya kuepuka madhara hayo yasitokee. Hayo...
  2. U

    Watatu jela maisha kwa kukutwa na kemikali za kutengeneza ‘Smart Gin’, ‘Double Kick’

    Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia. Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa na kukutwa na kemikali hatarishi aina ya ‘ethanol’ isivyo halali...
Back
Top Bottom