Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia.
Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa na kukutwa na kemikali hatarishi aina ya ‘ethanol’ isivyo halali...