kenchi

Kenichiro Teratsuji (寺辻健一郎; Teratsuji Kenichiro, born September 28, 1979 in Yokohama, Japan), better known by his stage names Kenchi Tachibana (橘ケンチ) or simply KENCHI, is a Japanese dancer and actor. He is a member of J-Pop groups Exile and Exile The Second. He was also member of J Soul Brothers' second generation Nidaime J Soul Brothers until their migration to Exile in 2009.
He is represented with LDH and also acts as a representative of LDH Asia.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  2. Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  3. Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  4. S

    Makadirio ya kenchi na bati

    Salaam wakuu, Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba. Ikiwezekana pia makadirio ya ujenzi kiujumla ya kumaliza paa. Nawashukuru sana na mbarikiwe.
  5. Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

    Natembea kuelekea Buguruni, eneo linaloitwa Binti Madenge. Mahala hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara wanaouza mbao, huku wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao kwenye mapipa. Ninavutiwa na hao wanaoingiza mbao kweye mapipa marefu yenye maji maji ya rangi ya kijani. Najiuliza kwa nini...
  6. Ni vyema kupaka oil chafu kwenye kenchi baada ya kupiga bati?

    Ni vyema kupaka oil chafu kwenye kenchi baada ya kupiga bati..!?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…