Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje?
Ndipo napata jibu kuwa
"Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika"
Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
Wakati Waandaji wa Tamasha la Super Bowl Halftime wakimtangaza Kendrick Lamar kama mtumbuizaji mkuu, mjadala umeibuka Mitandaoni, baadhi ya mashabiki wakimtaka Rapa Lil Wayne
Katika mijadala hiyo, wapo wanaodai Kendrick ni msanii mkali sana lakini, si chaguo sahihi kufanya tamasha katika mji...
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo...
Masaa kadhaa yaliyopita Kendrick Lamar ametoka kufanya show ya kibabe sana kwenye viunga vya Los Angeles California. Show hiyo ilipachikwa jina la POP OUT - KENNY AND FRIENDS CONCERT.
Mastaa kibao wamehudhuria show hiyo.
Jambo lililosisimua watu zaidi ni pale Kendrick alipotumbuiza ngoma ya Not...
Kuna uzi upo humu jukwaani tulikuwa tunabishana na majamaa kuhusu hizi diss tracks zinazotolewa na Kendrick Lamar na Drake. Hii bifu tunaoifaidi vizuri ni sisi tusio mashabiki wa Kendrick wala Drake. Mashabiki wa Kendrick watasifia tu Euphoria kuwa diss track kali lakini ukiwa serious huwezi...
Kwa wale wapenzi wa Hiph-hop wote masikio yetu yameelekezwa kwenye bifu ya Drake na Kendrick. Mpaka sasa kila mmoja ameshatoa ngoma si chini ya 4 na mchuano ukionekana kuwa bado ni mkali.
XXL Magazines wameweka Poll kati ya Drake na Kendrick Lamar, nani kuibuka mshindi?
Mpaka sasa Drake...
Kwa takriban mwezi mmoja sasa tasnia ya Muziki nchini Marekani imekuwa kwenye hatua za Back to Back kutoka kwa Mastaa wa Hip Hop, Drake na Kendrick Lamar ambao wamekuwa wakichapana Diss Track kila siku.
Sasa hebu tumalize hili jambo kwa idadi ya ngoma zilizotoka na kilichoimbwa, nani kapotezwa...
Picha: Kushoto ni Kendrick Lamar, kulia ni Drake (Credit: Getty images)
Baada ya gumzo kubwa kutokea pale metro na future kumshirikisha KENDRICK LAMAR kwenye track yao ya LIKE THAT na Kendrick Lamar kutema shit kubwa sana kuhusu BIG 3 na kuwa yupo BIG mwenyewe , ilimuumiza kichwa sana Drake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.