Wakenya, wenzetu ndugu zetu na majirani zetu.
Yanayoendelea kwenu si ya kufurahisha na hata wanoshabikia hawaelewi mateso yanayowapata baadhi ya wakenya.
Msiivuruge nchi yenu tafadhali.
Ilindeni amani yenu na tatueni matatizo yenu kwa amani.
Vijana Gen Z, waombwe watuulie wakati wazee toka...