Mamlaka inayo simamia ujenzi wa barabara hiyo inayo unganisha mji wa Mombasa na Nairobi imesema kuwa ujenzi rasmi utaanza baada ya kukamilika kwa upembuzi yakinifu wa muundo wake pamoja na kupatikana mkandarasi atakaye fanya kazi hiyo.
Kauli hii inakuja muda mfupi baada ya kuzuka kwa tetesi...