kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake ingekuwa Kenya huenda wasingekuwa wabunge, Mahakama ya Kenya iko huru zaidi!

    Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza. Ingekuwa ni Kenya swala la Halima Mdee na wenzake lingekuwa dogo sana na huenda wasingekuwa bungeni kabisa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mizigo ya kwenda Ethiopia kuanza kutumia reli ya Kenya

    Kenya intends to use recently refurbished Nanyuki metre gauge railway to transport cargo to Ethiopia from the Mombasa port as it targets growing industrial activities at the border. Kenya Ports Authority chairman Joseph Kibwana said plans are underway to have cargo transported from Mombasa via...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

    Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital. Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bei za umeme zasababisha kampuni kuhamia Ethiopia

    Kampuni mbalimbali nchini Kenya zinaweza kuhamia Ethiopia kutokana na gharama kubwa za umeme zilizopo Kwa ufanano ni kuwa bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli zake kutokana na bei za umeme...
  5. JamiiForums Tanzania Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania

    Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan ameitembelea Kenya katika ziara inayoelezwa kuwa imefungua ukurasa mpya wa mtangamano unaoashiria kuimarisha udugu na ujirani baina ya mataifa hayo. Akiwa Nairobi anahutubia wafanyabiashara na wabunge wa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kambi za wakimbizi za Kakuma na Daadab zitafungwa mwaka ujao

    Serikali ya Kenya imeamua kwamba hizi refugee camps zitafungwa by June 2022. Hizi refugee camps zina watu takriban 500,000. Akina Ilhan Omar ambaye ni house representative wa Minneapolis, Minnesota na Wasomali wengine mashuhuri kama Halima ambaye ni supermodel wamepitia kwenye hizi refugee...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

    Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya suspends Somalia flights for three months

    Kenya on Monday suspended flights from Somalia in the latest show that relations between the two sides have not thawed as announced last week. A Notice to Airmen (Notam) on Monday indicated that flights departing for or arriving from Somalia will not be allowed for three months from May 11 to...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi wa Kenya Pale UN Security Council

    Kenya kama Mwakilishi na mteteaji wa maslahi ya kiafrica imechukua jukumu lake na kuanza kuchapa kazi kuhakikisha waafrica wanaskizwa na hoja zao zinapatiwa nguvu inayostahili. A closed session of the Security Council to discuss the danger of the spread of mercenaries in Libya to the countries...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

    Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani. Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Square Pharma set to launch factory in Kenya

    Square Pharma set to launch factory in Kenya Ahsan Habib Square Pharmaceuticals will launch its production facility in Kenya within the next four months in a move that will considerably enhance the company's earnings from East African nations. The local drug maker broke ground on its...
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza shule leo baada ya lockdown ya COVID-19

    May 10, 2021 Education Ministry Cabinet Secretary Prof. George Magoha has maintained that schools shall reopen on May 10, 2021 as earlier planned. The CS dispelled rumours that opening dates for primary and secondary schools may change over the third wave of coronavirus that has struck Kenya...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania na Kenya tukiendelea kutekenyana Uganda wao mbioni ku launch kinu cha nyuklia na kuwa nchi ya pili Afrika

    Habari wadau.! Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040. Uganda wameingia mkataba na...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya launches first national wildlife census

    Kenya has on Friday launched the first ever National Wildlife Census, conducted on land and sea wildlife. This is part of the efforts made towards the preservation & protection of wildlife in Kenya. Kenyan Tourism and Wildlife Cabinet Secretary Najib Balala speaking during the launch of the...
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somalia restores diplomatic relations with Kenya

    Baada ya nchi ya Somalia kujiona msichana mrembo na kuturingia na hata kukata uhusiano kati ya nchi hizi mbili, wao wao wenyewe wamerudi mezani bila sisi kuwaita. Wamejua hawajui. Hii ni nchi ya hovyo sana. Sawia na msichana sura mbaya anayeringia wanaume ilhali wanaume hawana haja na yeye.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Manufaa ya Ushirikiano wa Tanzania na Kenya

    Tanzania na Kenya zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango Zaidi ya kuwekeza na kuinua uchumi baina ya nchi zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia Ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Kenya ikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

    Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru. Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa? Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia? Au Citizen wanamchafua rais wetu? ===== Serikali ya Tanzania yakanusha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tusisahau: Tanzania ni kubwa kuliko Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda ukiziweka pamoja

    Tunakumbushana tu kuwa Tanzania ina eneo kubwa kuzipita Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda tukiziweka pamoja Tutumie fursa ya ukubwa wa eneo letu kulead uchumi wa Afrika ya mashariki, pamoja tutaweza. Kazi Iendelee!
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipo siku Kenya itatawaliwa na kizazi cha Somalia

    Kama kichwa cha Habari kisemavyo hapo Juu. Kenya imejumuisha wanachi wenye asili tofauti tofauti wakiwemo wazungu, wa asia, na wabantu wenyewe wazawa wa kenya ambao jamii kubwa ndiyo ilikuwepo wakat Kenya ina kuwa huru, lakin miaka ya 1990's kuendelea taifa hiki limekumbwa na wimbi la watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…