Hii misafara ya viongozi wetu inakera sana.Leo nimeonja adha ya hii kero haba mbezi karibu na standi kuu ya mabasi ya magufuli.
Nina mgojwaa nawahi hospitali lakini gari zimezuiwa na nimejaribu kuwa eleza hawa askari wanadai watanichapa makofi nikilazimisha Kwa kudai Kuna kiongozi mzito...
Kwa kifupi.
Tumefika na tupo hapa Mkata kutokea Namanga kwenda Dar Es Salaam.
Tumeshuka na kukaa ili kukusubili wewe na msafara wako upite. Hii kitu imenipa wakati mgumu sana kuwaza na kutafuta jibu hata sijalipata.
Wewe ndiye mwenye maamuzi na viongozi walio chini yako kufanya mageuzi ya...
Kuna changamoto ya miundombinu ya Barabara katika eneo la Igogo inayopita Soko la Wafanyabishara Wadogo la Mchafu Koga.
Changamoto hiyo inasababisha vyombo vya usafiri hasa Daladala kutopita katika eneo hilo kwa wasiwasi wa kuharibu vyombo vyao vya moto huku abiria nao wakikumbana na adha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.