Hii misafara ya viongozi wetu inakera sana.Leo nimeonja adha ya hii kero haba mbezi karibu na standi kuu ya mabasi ya magufuli.
Nina mgojwaa nawahi hospitali lakini gari zimezuiwa na nimejaribu kuwa eleza hawa askari wanadai watanichapa makofi nikilazimisha Kwa kudai Kuna kiongozi mzito...