VIONGOZI CCM TAIFA MNAFANYA VIZURI SAANA KUTEMBELEA MIKOANI NA KUYASOMA MABANGOBAADA YA HAPOTURUDI OFISINI TUWE NA TAFAKURI NZITOKISHA TUCHUKUWE HATUA ZA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU
Nilisikika nikiunguruma Kama Simba Katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni kukemea Maovu ya kuzisigina katiba Kanuni...
Kwa mlolongo wa kutoa huduma kwenye taasisi muhimu za serikali mfano ukienda NIDA kupata kitambulisho unachukua muda mrefu sana mpaka kupata namba ya NIDA na kitambulisho chenyewe unaweza usipate usipojiongeza vizuri.
Pia ukienda RITA kupata huduma tabu ipo palepale utazungushwa kwelikweli ila...
Taasisi nyingi za Serikali wanakuwa na namba za meza kwa jina simu za waya kama kuna tatizo lolote au mawasiliano kuweza kuwapigia.
Cha kushangaza tokea kuingia matumizi ya simu kiganja kama simu hizi za mezani zimekuwa bure au kero, yaani unaweza kupiga siku nzima wala kutopokelewa wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.