Kwa mlolongo wa kutoa huduma kwenye taasisi muhimu za serikali mfano ukienda NIDA kupata kitambulisho unachukua muda mrefu sana mpaka kupata namba ya NIDA na kitambulisho chenyewe unaweza usipate usipojiongeza vizuri.
Pia ukienda RITA kupata huduma tabu ipo palepale utazungushwa kwelikweli ila...