Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea.
Mradi wa maji wa...