Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga?
Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza...