Sisi wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime tuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa.
Wanaohusika wangeweza kusingizia kuwa hakuna umeme, lakini umeme upo, mabomba yapo na miundombinu yote ipo lakini maju hakuna na hakuna...