Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka mpaka wakuingia nchi nyingine.
Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.