Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi huko.
Mbali ya kuwa Wananchi wamejichanga na kutafuta vifusi ila mkandarasi wa Barabara ya Kibada -...
Hii barabara imeanza kujengwa zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hadi leo hata haijafikia asilimia 30. Tangu ianze ina kandarasi zaidi ya ya 4, ni nini hasa kinafanya hii barabara isimalizike.
Tena barabara yenyewe haikuanzia Musoma. Ilanzia mbele kidogo ya Zero zero. Hadi sasa hivi imefikia...
Wakuu habari zenu,
Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje?
Wanaohusika naomba mlitafakari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.