Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni.
Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa mfumo maalumu unaoweza kujiendesha, mwanafunzi anaweza kuandika barua leo lkn mpaka kuja kuipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.