Ubungo kuna shida ya maji sio poa
Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi
Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji
Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi...
WaziriI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu juu tayari imerekebishwa.
Waziri Aweso ameyasema hayo leo Oktoba 28, 2024 katika ziara ya kukagua...
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini..
Bili za maji wasomaji hawazingatii wanapita na kubambika mamba ambazo sio sahihi. DAWASA, DAWASA. Wizara...
Nashindwa kuelewa sijui hawa watenda kazi wa hii DAWASA kuanzia viongozi hadi watenda kazi wa chini mmeshindwa kabisa kupata njia mbadala ya kuondoa hizi changamoto za huduma ya maji jijini dar es salaam? Jiji lenye zaidi ya watu milioni 8 Ni aibu sana kuona huduma ya maji ikisuasua nyie...
Habarini.
Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli.
Aisee maji yananuka, sijui huko kwenu, yaan yananuka bila hata kuyanusa, yanatoa harufu flani ivi kama maji ya bahari, ukiingia...
TAARIFA KWA UMMA
29.8.2024
UPUNGUFU WA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA MIKOA YA DAR ES SALAAM NA PWANI
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wa Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na upungufu wa huduma ya maji kutokana na...
Nitangulize shukrani kwa JamiiForums kwani mara tu bada ya taarifa ya kukosekana kwa maji kuripotiwa mamlaka zimeweza kurejesha huduma ya maji katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani kijulikanacho kama Magufuli stendi.
Awali nilileta uzi wa lalamiko la kutokuwepo kwa huduma ya maji kwa muda wa...
Awali nilileta lalamiko la kutokuwepo huduma ya maji kwa muda mrefu bila sababu yoyote huku magari ya kuuza maji yakiwa yanaranda mitaani kuuzia watu maji kwa gharama kubwa.
Tazama hapa: KERO - Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji...
Habari za jioni ndugu,
Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima.
Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.