Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa wanatuambia wanarekebisha lakini bado huduma hazijarejea.
Hali hiyo inatupa changamoto kubwa Wakazi...